Jan 12, 2022

DC WA ZAMANI KILOLO ASIA ABDALLAH AJITOSA KUWANIA USPIKA+video

Mkuu wa Wilaya wa zamani wa Kilolo, Asia Abdallah amekabidhiwa fomu na Katibu Msaidizi Mkuu Idara ya Organaizesheni Bw. Solomon Itunda kwa ajili ya kuomba nafasi ya kuwania uspika katika Ofisi za Makao makuu ya CCM Dodoma leo Januari 12,2022.Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Uchaguzi CCM, Cathbert Midala.



Asia akisaini kwenye kitabu ikiwa ni uthibitisho amechukua fomu. Kulia ni Cathbert Midala Mkuu wa Kitengo cha Uchaguzi CCM.


 Asia akipokea risiti  kutoka kwa Mhasimu baada ya kulipa sh. milioni moja ya kuchukua fomu.


PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA


Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Asia akielezea sababu zilizomfanya aamue kuomba kuwania nafasi hiyo nyeti ya uspika.....

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Pages