Jan 12, 2022

WALIOCHUKUA FOMU CCM KUWANIA USPIKA WAFIKIA 30, CHENGE, KAMANI WAMO+video

Katibu Msaidizi Mkuu Idara ya Organaizesheni Bw. Solomon Itunda akitaja idadi ya wanachama waliochukua kwa ajili ya kuomba nafasi ya kuwania uspika katika Ofisi za Makao makuu ya CCM Dodoma leo Januari 12,2022.Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Uchaguzi CCM, Cathbert Midala.


 Itunda akizungumza na waandishi wa habari alipokuwa akitaja idadi ya wanachama wa CCM waliochukua fomu kufikia 30 jioni Januari 12,2022.

PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA 

 Mdau enedelea kusikiliza kupitia clip hii ya video ikitangaywa idadi ya waliochukua fomu kuomba kuwani uspika...
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Pages