Jan 14, 2022

ASIA ABDALLAH AREJESHA FOMU YA KUOMBA KUWANIA USPIKA


 Mkuu wa Wilaya wa zamani, Asia Abdallah akirejesha fomu za kuomba kuwania uspika kwa Mkuu wa Kitengo cha Uchaguzi CCM, Cuthbert Midala katika Makao Makuu ya CCM jijini Dodoma Januari 14,2022.     

Jumla ya wanachama wa CCM 66  hadi tarehe hiyo wamechukua fomu ya kuomba kuwania nafasi hiyo nyeti.Mwisho wa kuchukua na kurejesha fomu ni Januari 15, 2022.


No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Pages