Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT), Mary Chatanda akizungumza na vyombo vy habari jijini Dodoma, kutoa tamko la kulaani kitendo cha Katibu Mwenezi wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) Taifa, Sigrada Mligo kupigwa na kujeruhiwa katika mzozo uliotokea katika kikao cha ndani cha chama hicho mkoani Njombe. Mligo amelazwa katika Hospitali ya Halmashauri Mji Njombe ...
Waandishi wa habari wakiwa katika mkutano huo.
Katibu wa CCM Mkoa wa Dodoma, Pili Augustino akitoa salamu za mkoa.Mwenyekiti wa UWT Mkoa wa Dodoma, Neema Majule akitoa salamu za utangulizi za UWT Mkoa.
Baadhi ya makada wa CCM.Chatanda akizawadiwa kitenge baada mkutano huo kumalizika.
Chatanda akipongezwa na Katibu wa CCM Mkoa wa Dodoma, Augustino. IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇