LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

May 18, 2021

JAFO ATAFUTA 'MUAROBAINI' WA TOFAUTI YA UFAULU KATIKA SHULE ZA TANZANIA BARA NA ZANZIBAR

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Selemani Saidi Jafo ameteua wajumbe saba wa Kamati itakayofanya kazi ya kutoa ushauri wa kitaalamu kuhusu uboreshaji wa elimu katika Muungano. 

Akizungumza na waandishi wa habari visiwani Zanzibar Jafo alisema uteuzi huo umefanyika ikiwa ni hatua ya kushughulikia maoni yaliyotolewa na wadau mbalimbali kuhusu tofauti ya ufaulu wa wanafunzi wa Shule za Sekondari za Tanzania Bara na Zanzibar kwa matokeo mbalimbali ya Kidato cha Nne na Sita

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages