LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Dec 19, 2020

HONGERA ARNOLD EMMANUEL KWITEMA KWA KUTUNUKIWA SHAHADA YA KWANZA YA UHIFHADHI WANYAMAPORI

Ilikuwa siku ya furaha kwake, wazazi, ndugu na jamaa kwa Arnold Emmanuel Kwitema, kutunukiwa Shahada ya Kwanza ya Uhifadhi Wanyamapori (Bachelor Degree in Wildlife Management) inayotolewa na Chuo cha Usimamizi wa Wanyamapori  cha Mweka mkoani Kilimanjaro, wakati wa Mahafali ya Chuo hicho yaliyofanyika hivi karibuni kwenye Chuo hicho.

Zifuatazo ni picha mbalimbali za Arnold siku siku hiyo👇

Arnold akipongezwa kwa furaha kuu na Wazazi wake, Emmanuel Kwitema na Grace, baada ya kutunukiwa Shahada hiyo ya kwanza katika mahafali hayo.

Arnold akionekana kuwa mwenye furaha, huku akirekebisha kofia yake baada ya kutunukiwa Shahada hiyo.

Arnold akiwa katika pozi tofauti tofauti wakati akiwa na wahitimu wenzake katika Mahafali hayo👇




Pongezi👇
Arnold akivishwa shada na Dada yake Annastazia Kwitema

Arnold akipongezwa na Baba Mdogo Prosper Wakara

Arnold akipongezwa na Wazazi wake, Baba na Mama Emmanuel Kwitema na dada yake Annastazia

 Arnold akiwa pamoja na Shangazi yake Mwalimu Wakara (kushoto), Dada yake Annastazia na Baba yake Emmanuel Kwitema.

Arnold akiwa katika picha ya pamoja na familia waliofika kumpongeza.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages