LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Dec 20, 2020

DIWANI KATA YA KAWE MUTTA RWAKATARE ANOGESHA MAHAFALI YA SHULE YA CHEKECHEA YA MKOMBOE KATIKA KATA HIYO

Diwani wa Kata ya Kawe jijini Dar es Salaam, Mutta Rwakatare akiwafurahia wahitimu wa Elimu ya Awali (Chekechea), wakati wa Mahafali ya Mkomboe Nursery School, iliyopo mtaa wa Ukwamani, katika Kata hiyo, jijini Dar es Salaam, jana 
Mhitimu Restuta Massawe akisoma risala mbele ya Wazazi kabla ya mgeni rasmi kuwasili.
Mzazi John Massawe akieleza jinsi alivyosomesha mtoto wake katika Shule ya Mkomboe Nursary School ambaye Sasa yupo mwaka was pili Chuo Kikuu.
Mkuu wa Shule za Chekechea za Mkomboe Nursary School na Mbezi Beach Medium School Ovarton Radson Kadize akizungumza na Wazazi wakati wa Mahafali hayo.

Mhitimu akitoa zawadi kwa Mwalimu Mkuu wa Shule hiyo ya Mkomboe, Ovarton Radson kadize 

 Mjumbe wa Shina la CCM la Kwa Ndobe, Kitwana Mwinchande akikabidhi cheti kwa mhitimu.
Mjumbe wa Shina la CCM la Kwa Ndobe, Kitwana Mwinchande akikabidhi cheti kwa mhitimu.
Diwani wa Kata ya Kawe jijini Dar es Salaam, Mutta Rwakatare akiwa na viongozi wa meza kuu baada ya kuwasili ukumbi kwenye mahafali hayo. Kulia ni Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Ukwamani Hamisi Chilemba na Watatu kulia ni Mwenyekiti wa CCM Kata ya Kawe Athumani Athumani.
Diwani wa Kata ya Kawe jijini Dar es Salaam, Mutta Rwakatare akiwa na viongozi wa meza kuu baada ya kuwasili ukumbi kwenye mahafali hayo. Kulia ni Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Ukwamani Hamisi Chilemba na Watatu kulia ni Mwenyekiti wa CCM Kata ya Kawe Athumani Athumani.
Diwani wa Kata ya Kawe jijini Dar es Salaam, Mutta Rwakatare akitafakari hali ya mambo baada ya kuwasili ukumbini Kulia ni Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Ukwamani Hamisi Chilemba akisaini kitabu cha wageni.
Diwani wa Kata ya Kawe jijini Dar es Salaam, Mutta Rwakatare akitafakari hali ya mambo baada ya kuwasili ukumbini Wapili kushoto ni Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Ukwamani Hamisi Chilemba akifuatiwa na Mjumbe wa Shina la CCM la Kwa Ndobe, Kitwana Mwinchande na Mjumbe wa Serikali ya Mtaa huo Rehema Msuta.
Mjumbe wa Shila la CCM la Kwa Ndobe, Kitwana Mwinchande akiwa na Wajumbe wa Serikali ya Mtaa wa Ukwamani Rehema Msuta na Faraji Mag'andila.
Mwenyekiti wa Shule za awali za Mkomboe na Mbezi Beach     Ovarton Radson Kadize   akizungumza kumkaribisha Mgeni Rasmi katika mahafali hayo.
Mhitimu wa Elimu ya awali (Chekechea) wa Mkomboe Nursery School Restuta John Masawe akisoma kwa ufasaha risala ya wahitimu wakati wa mahafali hayo. anayemsaidia ni Mwalimu Mkuu Msaidizi wa Mkomboe Madam Halima Yusuf. Kushoto ni Diwani Mutta akimsikiliza mhitimu huyo kwa makini.
Mhitimu wa Elimu ya awali (Chekechea) wa Mkomboe Nursery School Restuta John Masawe akimkabidhi risala Diwani Mutta baada ya kuisoma.
Mwalimu Mkuu Msaidizi wa Mkomboe Madam Halima Yusuf akisoma risala ya shule mbele ya Diwani Mutta.
Mwalimu Mkuu Msaidizi wa Mkomboe Madam Halima Yusuf akikabidhi risala kwa Diwani Mutta baada ya kuisoma.
Mkuu wa shule hiyo Ovarton Radson Kadize akimkaribisha Diwani Mutta kuzungumza na wazazi na wanafunzi.
Diwani wa Kata ya Kawe jijini Dar es Salaam, Mutta Rwakatare akizungumza wakati wa Mahafali ya Mkomboe Nursery School, iliyopo mtaa wa Ukwamani, Diwani huyo aliahidi kushirikiana na Uongozi wa Serikali ya Mtaa huo wa Ukwani kuisaidia shuloe hiyo katika masuala mbalimbali ikiwemo vifaa vya kusomea na madawati. Katika hatua za awali Rutta aliichangia shule hiyo sh. laki moja, na kuendesha harambee ya papo hapo kwa ajili ya fedha za kuwapa walimu shukrani kwa kutunza na kuwafundisha watoto vizuri japo katika mazingira magumu. 
Kisha akawaita watoto na kufurahi nao👇





Kisha akaendelea na hotuba yake
Kwa furaha Mkuu wa shule hiyo     akampa zawadi ya maji Diwani Mutta
"Haya kwaherini, nitakuja siku nyingine", Diwani wa Kata ya Kawe jijini Dar es Salaam, Mutta Rwakatare akasema wakati akiwaaga Mkuu wa shule hiyo     na baadhi ya wazazi kabla ya kuondoka baada ya mahafali hayo . Maelezo na Picha na Bashir Nkoromo, Msimamizi Mkuu wa Blog ya taifa ya CCM
 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages