LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Dec 20, 2020

TANZIA: CHUO KIKUU CHA AFYA NA SAYANSI SHIRIKISHI MUHIMBILI

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) anasikitika kutangaza kifo cha Prof. Bakari Lembariti kilichotokea siku ya Jumapili Disemba 20 , 2020 . nyumbani kwake Oysterbay, Dar es Salaam. Mwili wa marehemu umesafirishwa kuelekea Newland, TPC Moshi kwa maziko ambayo yanatarajiwa kufanyika Jumatatu Disemba 21, 2020.

Innaa Iillaahi wainnaa ilayh raajiun 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages