LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Dec 10, 2018

WAFUNGA PINGU ZA MAISHA

  Bwanaharusi Mwita Matiko akiwa na mke wake, Dora Mlali ambaye ni Muuguzi katika Taasisi ya Mifupa MOI mara baada ya kufunga pingu za maisha wakiwa katika picha ya pamoja.
 Biharusi Dora Mlali akiwa katika pozi kabla ya kufunga pingu za maisha kufunga
 Bwana harusi Mwita Matiko na Mke wake Dora wakitoka Kanisani baada ya kufunga pingu za maisha eneo la Kitunda 
 Bwanaharusi Mwita Matiko akimpokea mke wake Dora Mlali kwa bashasha mara baada ya kufunga pingu za maisha eneo la Ukonga Gadeni
Bwanaharusi Mwita Matiko na mpambe wake John Otuma mara baada ya kufunga pingu

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages