Mbunge wa Bukoba Vijijini,m Dkt. Jasson Rweikiza amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kazi kubwa aliyoifanya kwa mika minne ya uongozi wake kwa kupeleka miradi mingi katika Jimbo la Bukoba Vijijini.
Ametoa pongezi hizo alipokuwa akichangia mjadala wa makadirio ya Bajeti ya Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Aprili 17, 2025 bungeni Dodoma.IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇