Apr 17, 2025

ZAIDI YA KERO 15,000 ZA RUSHWA ZAPATIWA UFUMBUZI - SIMBACHAWENE


 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari kwenye Ukumbi wa Idara ya Habari MAELEZO jijini Dodoma Aprili 17, 2025, kuhusu mafanikio ya miaka minne ya uongozi wa Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI
BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Pages