Mkuu wa Idara ya Magonjwa ya Dharura Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Dkt. Juma Mfinanga (wapili kulia) akitoa maelezo kwa Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Faustine Ndugulile (kulia) akiangalia mabenchi hayo mara baada ya hafla fupi ya kukabidhiwa mabenchi 52 yenye thamani ya Milioni 10
Mariam Shabani mkazi wa Kurasini akizungumza na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Faustine Ndugulile (wa pili kulia), akiishukuru Serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Rais Magufuli, naona inajitahidi na huduma tunaipata nzuri kuanzia tulikotoka na sasa tupo hapa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), tumepokelewa vizuri tunaendelea kupata huduma nzuri ambapo nimemleta mdogo wangu anayesumbuliwa na Mguu,
Meneja wa Kanda ya Dar es Salaam Badru Idd akizungumza jambo mara baada ya kutoa msaada wa mabenchi 52 ya kukalia yenye thamani ya Sh. Milioni kumi
Kaimu Mkurugenzi wa Tiba Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dkt. John Rwegasha akizungumza jambo na waandishi wa habari
Mkuu wa Idara ya Magonjwa ya Dharura Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Dkt. Juma Mfinanga akiagana na
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Faustine Ndugulile. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇