Kada wa CCM Mgombea Urais wa Zanzibar kutoka Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja Mhe. Haji Rashid Pandu akikabidhi fedha kwa ajili ya uchuaji wa Fomu ya Urais akimkabidhi Katibu wa Idara ya Oganizesheni ya CCM Zanzibar Ndg. Galos Nyimbo, alipofika leo Afisi ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar. akitokea Kijiji cha Bambi ni Mkulima.
Jun 20, 2020
HAJI RASHID PANDU ACHUKUWA FOMU ZA KUOMBA KUWANIA URAIS ZANZIBAR
Tags
featured#
Zanzibar#
Share This

About Richard Mwaikenda
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇