Mbunge wa Jimbo la Ukonga, ambaye pia ni Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mwita Waitara akikagua sehemu ya barabara Km 3.2 iliyojengwa kwa lami kutoka Kitunda hafi Mwembeni katika Barabara ya Banana hadi Kivule, Jimbo la Ukonga Dar es Salaam. Barabara hiyo inayojengwa na Kampuni ya Nyanza itapunguza adha ya usafiri kwa wakazi wa Kitunda, Kivule na Msongola. PICHA NA RICHARD MWAIKENDA
Mar 19, 2020
Home
featured
habari picha
WAITARA AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA BARABARA YA LAMI KITUNDA- MWEMBENI, KIVULE UKONGA.
WAITARA AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA BARABARA YA LAMI KITUNDA- MWEMBENI, KIVULE UKONGA.
Tags
featured#
habari picha#
Share This

About Richard Mwaikenda
Tags
featured,
habari picha
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇