Jun 28, 2025

RAIS SAMIA AHUTUBIA NA KUHITIMISHA SHUGHULI ZA BUNGE LA 12

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia na kuhitimisha shughuli za Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tarehe 27 June, 2025


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua gwaride la heshima lililoandaliwa na Jeshi la Polisi mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma tarehe 27 June, 2025.




 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Pages