May 13, 2025

RAIS DK. SAMIA AONGOZA WAOMBOLEZAJI KATIKA MAZIKO YA HAYATI MZEE MSUYA

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan leo ameongoza waombolezaji katika maziko ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Mzee Cleopa David Msuya katika Kijiji cha Chomvu, Usangi Wilayani Mwanga mkoani Kilimanjaro. Pichani ni matukio mbalimbali Rais akiongoza maziko hayo.

 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Pages