WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi, Dkt. Ashatu Kijaji amesema kuwa Serikali imeandaa mpango wa kutoa chanjo ya bure kwa kuku wote nchini.
Mpango huo ameutangaza alipokuwa akizungumza na vyombo vya habari katika Idara ya Habari- MAELEZO jijini Dodoma Mei 6, 2025, kuhusu mafanikio ya wizara hiyo katika miaka minne ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇