Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt,Samia Suluhu Hassan akitembelea Makumbusho ya Vita ya Majimaji Songea Mkoani Ruvuma leo September 23,2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt,Samia Suluhu Hassan akiweka silaha za jadi kwenye mnara wa mashujaa alipotembelea Makumbusho ya Vita ya Majimaji Songea Mkoani Ruvuma leo September 23,2024.
Akivishwa mgololeRais Samia akitoa heshima katika kaburi la waliokuwa mashujaa wa Vita vya Majimaji






Tunawashukuru kwa Kaz nzr,Jambo ndogo tuu hapa ni kwamba niombe kuelekea Uchaguz ss wachache tumejitolea kuwa site huku chini kabisa karibu na wananchi tukiangazia namna Chama kilivyofanikiwa kutekeleza Miradi mbalimbali ikiwa ni pamoja na kuendelea kutekeleza majukumu yote kwa wananchi ambpo Ombi langu niombe tunapokuta kuna Jambo haliko sawa pahala bas viongoz wangu wa Chama Mtusaidie kwa Wakati kwa Unawiri wa Chama chetu na serikali.
ReplyDelete