LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 28, 2024

ILIKUWA NI GHARIKA RUVUMA

 


Maelfu ya wananchi kutoka mkoa wa Ruvuma na maeneo yake wametokelezea kwa wingi, wakiwa na hamasa na furaha tele, kumshuhudia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, akihutubia katika mkutano mkubwa uliofanyika Uwanja wa Majimaji mjini Songea tarehe 28 Septemba 2024. Mkutano huu unahitimisha ziara yake ya siku sita mkoani hapa ya kukagua maendeleo na jinsi Ilani ya CCM inavyotekelezwa.
Katibu Mkuu wa CCM, DK. Emmanuel Nchimbi akizingumza katika mkutano huo.
RAIS Samia akihutubia.

 Mambo yalivyokuwa


No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages