LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 28, 2024

MWENYEKITI WA CCM, RAIS SAMIA AFUNGA KIKAO CHA BARAZA KUU LA UWT

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt,Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa kufunga Kikao Maalumu cha Baraza Kuu la Umoja wa Wanawake wa CCM (UWT) mjini Songea mkoani Ruvuma Septemba 28, 2024.



Katibu Mkuu wa CCM, Balozi, Dk.  Emmanuel Nchimbi akizungumza kabla ya kumkaribisha , Mwenyekiti wa CCM, Samia kufunga kikao hicho.

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt,Samia Suluhu Hassan akipokea zawadi ya picha yake ya kuchora kutoka kwa Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake  wa CCM (UWT), Mary Chatanda wakati wa kufunga Kikao Maalumu cha Baraza Kuu la UWT mjini Songea mkoani Ruvuma Septemba 28, 2024.

Rais Samia akipokea zawadi ya picha nyingine kutoka kwa Makamu Mwenyekiti wa UWT, Zainab Hamis Shomari.



Baadhi ya wajumbe wa baraza hilo wakiwa katika kikao hicho.



 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages