LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 28, 2024

MAMBO YALIVYOKUWA UWANJA WA MAJIMAJI RAIS SAMIA AKIHITIMISHA ZIARA RUVUMA

Maelfu kwa Maelfu ya Wananchi wa Mkoa wa Ruvuma waliofurika kwa wingi Uwanja wa Majimaji Songea mjini kwenye mkutano wa hadhara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhe.Dkt,Samia Suluhu Hassan wa kuhitimisha ziara  mkoani huo leo September 28,2024.


Rais Samia akiwapungia mkono wananchi alipokuwa akiingia uwanjani hapo.






 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages