Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT), Mary Chatanda akizungumza na vyombo vya habari Makao Makuu ya UWT, jijini Dodoma Mei 15, 2024 ambapo ameeleza changamoto mbalimbali zinazoikumba jamii katika malezi ikiwemo masuala ya teknolojia na utandawazi na kukosekana kwa amani na upendo katika familia. Kushoto ni Mwenyekiti wa UWT Mkoa wa Dodoma, Neema Majule.
Wakiimba wimbo wa hamasa.
Wanahabari wakiwa kazini.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI
BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇