Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa (CC) ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akilakiwa na Naivu Katibu Mkuu wa CCM Bara Christuba Mndeme alipowasili kushiriki Kikao Cha Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi, Chamwino Dodoma.
Kikao hicho kinaongozwa na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan. (Picha na Ikulu).
📆 04 Disemba 2022.
📍Chamwino, Dodoma.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇