Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo akizungumza na Karani wa Sensa ya Watu na Makazi Bi. Faith Buruhani (kushoto) wakati wa kuhesabiwa kwenye makazi yake Msasani jijini Dar es salaam leo tarehe 23, Agosti 2022. (Picha na Adam H. Mzee/ CCM Makao Makuu)
Aug 23, 2022
KATIBU MKUU CCM, CHONGOLO AHESABIWA MSASANI DAR
Tags
featured#
KIJAMII#
Share This

About Author CCM Blog
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇