LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 23, 2022

RIDHIWANI: NIMEFURAHI KUSENSABIKA, MASWALI SIYO MAGUMU, HAYAKWAZI

Mbunge wa Chalinze, ambaye pia ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Ridhiwani Kikwete akiulizwa maswali na  Karani wa sensa alipokuwa akihesabiwa nyumbani kwake Msoga, Chalinze mkoani Pwani.

"Mapema leo nimeshiriki kusensabika #Sensa2022 kwa ajili ya Maendeleo. Ni furaha kwangu zoezi limekwenda vizuri. Maswali sio magumu yanajibika na wala hakuna  ya kukwaza." @nbs.tanzania #Sensabika #SensaKwaMaendeleo #Tunahesabika



 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages