LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 23, 2022

KAYA YA PROF MUHONGO TAYARI IMEHESABIWA


Prof Sospeter Muhongo (pichani) na  Wanakaya yake walioamkia hapo nyumbani leo tarehe 23.8.2022, tayari wahesabiwa.


Waliohesabiwa ni Wanakaya sita (6) na Wageni wawili (2).


Karani anafanya kazi yake kwa weledi mkubwa sana. Wanakaya na Wageni wote wamejibu maswali yote kwa usahihi unaotakiwa.


Watanzania wote tuendelee kuhesabiwa.


Reliable and unequivocal facts and figures are a prerequisite to any sound, well-informed and evidence-based plans, budgets, projects and programmes.


Picha za hapa zinawaonyesha Watu 8 waliohesabiwa nyumbani kwa Prof Muhongo. Karani nae yuko pichani.


Ofisi ya Mbunge

Jimbo la Musoma Vijijini

www.musomavijijini.or.tz


Tarehe:

Jumanne, 23.8.2022

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages