LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 23, 2022

MAFATAKI YARINDIMA UZINDUZI WA DODOMA SENSA DAY MKESHA WA MWENGE+video

UZINDUZI WA Dodoma Sensa Day umepambwa na ufyatuaji mafataki angani wakati wa mkesha wa Mwenge wa Uhuru Agosti 23, 2022 usiku saa 6 na dakika moja Mjini Mpwapwa. Tukio hilo la aina yake lililosindikizwa pia na ukataji keki lilifanywa na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule na kushangiliwa na umati wa watu wakiwemo pia makarani na wasimamizi wa sensa.

Mkuu wa Mkoawa Dodoma, Rosemary Senyamule akikata keki ikiwa ni ishara ya kuanza kwa zoezi la kuhesabu watu wakati wa mkesha wa Mwenge wa Uhuru mjini Mpwawa.

Ni furaha iliyoje  wakati mafataki takipigwa.

Baadhi ya makarani na wasimamizi wa sensa
Aina ya keki iliyokatwa wakati wa uzinduzi huo
Keki ikigawiwa
Mwenge wa Uhuru uliokesha siku hiyo
 PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDAMdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages