LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Feb 17, 2025

TAASISI ZITAKAZOPUUZA KUELEZEA MAFANIKIO, ITABIDI ZIJIELEZE -MSIGWA

.Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amezitaka Taasisi zote za Umma kufika bila kukosa katika mikutano na vyombo vya habari katika Ukumbi wa Idara ya Habari- MAELEZO jijini Dodoma kuelezea mafanikio ya taasisi hizo ya miaka minne ya Rais Samia Suluhu Hassan.

Ametoa agizo hilo alipokuwa akisema maneno ya utangulizi alipokuwa akimkaribisha Mkurugenzi wa Mipango ya Miundombinu Mipango na Miundombinu wa Wakala ya Barabara Tanzania TANROADS Mhandisi Ephatar Mlavi kuelzea mafanikio hayo jijini Dodoma Februari 17, 2025.IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI
BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages