Katibu Mtendaji wa Baraza la Michezo la Taifa, Neema Msitha akielezea baadhi ya mafanikio katika sekta ya michezo hasa katika Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan.
Msitha ameweka wazi mafanikio hayo katika mkutano na vyombo vya habari jijini Dodoma leo Februari 18, 2025 katika utaratibu wa Taasisi kuelezea mafanikio yao katika awamu hiyo.
Waandishi wa habari wakiwa katika mkutano huo.Katibu Mtendaji wa Baraza la Michezo la Taifa, Neema Msitha akielezea baadhi ya mafanikio katika sekta ya michezo hasa katika Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan.
Msitha ameweka wazi mafanikio hayo katika mkutano na vyombo vya habari jijini Dodoma leo Februari 18, 2025 katika utaratibu wa Taasisi kuelezea mafanikio yao katika awamu hiyo.
Waandishi wa habari wakiwa katika mkutano huo.IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI
BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇