Mbunge wa Moshi Vijijini, Profesa Patrick Ndakidemi ameishauri serikali kuweka mpango wa kuwalipa pensheni wazee lakini pia wawe na wawakilishi bungeni.
Ametoa ushauri huo alipokuwa akichangia mjadala wa makadirio ya Bajeti ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Wanawake, Jinsia na Makundi Maalumu bungeni Dodoma Mei 30, 2022.
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Prof. Ndakidemi akitoa mchango wake huo....
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇