Mbunge wa Njombe Mjini, Deo Mwanyika amehoji bungeni serikali inatoa kauli gani kwa wanaochafua parachichi za Tanzania kwamba hazina vikwazo, amejibiwa na Waziri wa Kilimo kuwa Parachichi za Tanzania zinakidhi viwango vya kimataifa na kwamba ni ndiyo maana siku za hivi karibuni Tanzania imeingia mkataba wa kuuza zao hilo nchini India.
Deo amehoji wakati wa kipindi cha maswali na majibu bungeni Dodoma, Mei 31, 2022.Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mwanyika akihoji juu ya jambo hilo....
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇