Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM Taifa, Kenani Kihongosi akishangiliwa na wabunge baada Spika wa Bunge, Dkt Tulia Ackson kumtambulisha bungeni Dodoma Mei 30, 2022.
Kihongosi alikuwa miongoni mwa wageni maalumu waliokuwa wamekaa jukwaa la wageni wa Spika.Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Kihongosi akishangiliwa na wabunge.....
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇