Mbunge wa Tarime Vijijini, Mwita Waitara amehoji bungeni ni lini vitongoji 300 vitawekewa umeme jimboni kwake?Amehoji wakati wa kipindi cha maswali na majibu na kujibiwa na Naibu Waziri wa Nishati, Byabato bungeni Dodoma Mei 31, 2022.
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mwita akiwapambania wananchi wake kupata umeme.....
No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇