LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

May 31, 2022

CHONGOLO ATINGA MASWA KUENDELEA NA ZIARA


Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi ndugu Daniel Chongolo akivishwa skafu na vijana wa UVCCM mara  baada ya kuwasili katika kata ya Isanga Njiapanda Malampaka Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu akitokea wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga , Chongolo yuko katika ziara ya kikazi ya siku 9 kukagua uhai. Wa Chama na Miradi ya maendeleo inayotekelezwa na serikali kupitia Ilani ya CCM ya mwaka 2020-2025.

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi ndugu Daniel Chongolo akizungumza mara  baada ya kuwasili katika kata ya Isanga Njiapanda Malampaka Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu akitokea wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga , Chongolo yuko katika ziara ya kikazi ya siku 9 kukagua uhai. Wa Chama na Miradi ya maendeleo inayotekelezwa na serikali kupitia Ilani ya CCM ya mwaka 2020-2025 kulia ni Kanali Ngemela  Lubinga Katibu wa NEC Siasa na Ushirikiano wa kimataifa CCM na kushoto ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Simiyu Bi.Shmsa Mohammed 

 

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi ndugu Daniel Chongolo akisalimiana na viongozi mbalimbali  baada ya kuwasili katika kata ya Isanga Njiapanda Malampaka Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu akitokea wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga , kushoto ni Shamsa  Mohammed’ Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Simiyu.


No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages