Mbunge wa Nyang'wale, Hussein Amar ameiomba serikali kushusha bei ya maji ili kuwappunguzia mzigo wananchi.
Ombi hilo amelitoa wakati wa kipindi cha maswali na majibu bungeni Dodoma, Mei 31, 2022 na kujibiwa na Naibu Waziri wa Maji, Maryprisca Mahundi kuwa watafanya utaratibu wa kushusha bei hizo.Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Amar akiomba bei hiyo ishuke....
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇