LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

May 31, 2022

DK. KIKWETE ASHIRIKI KIKAO C'HA UCHAGUZI WA CCM TAWI LA MSOGA, LEO


Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dk. Jakaya Mrisho Kikwete leo ameshiriki kikamilifu kwenye Mkutano wa Uchaguzi wa Viongozi wa Chama cha Mapinduzi wa Tawi la Msoga, akitumia haki yake ya kuwa mwanachama hai wa CCM.


Dk. Kikwete na Wanachama wenzake wa CCM kijijini Msoga wamechagua Mwenyekiti wa Tawi, Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Tawi, Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Kata na Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Wilaya. Pichani Dk. Kikwete akiwa kwenye Mkutano huo.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages