LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

May 31, 2022

RAIS SAMIA APOKEA KOMBE LA SOKA LA DUNIA, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM, LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akionesha Kombe la Dunia baada ya kulipokea kutoka kwa Balozi wa Kombe hilo kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) ambaye pia ni mchezaji wa zamani wa timu ya Taifa ya Brazil Juliano Belletti katika hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 31 Mei, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alipokuwa akipokea Kombe la Dunia kutoka kwa Balozi wa Kombe hilo kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) ambaye pia ni mchezaji wa zamani wa timu ya Taifa ya Brazil Juliano Belletti katika hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 31 Mei, 2022.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages