LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

May 19, 2022

MAKAMU WA RAIS DKT MPANGO AKABIDHI ZAWADI ZA MAMILIONI VINARA WA UBUNIFU


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akikabidhi mfano wa hundi zenye mamilioni ya fedha kwa washindi wa ubunifu wakati wa hafla ya kufunga rasmi Maonesho ya Wiki ya Ubunifu/MAKISATU kwenye Uwanja wa Jamhuri jijini  Dodoma leo Mei 19, 2022.
Maonesho hayo yameandaliwa na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa kushirikiana na wadau mbalimbali. Hafla hiyo imehudhuriwa pia na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa (kushoto) na Waziri wa wizara hiyo, Profesa Adolf Mkenda (kulia).



Baadhi ya wabunifu waliopatiwa tuzo wakiwa katika picha ya pamoja na Makamu wa Rais, Dkt Mpango, Waziri Mkuu Majaliwa  pamoja na viongozi wengine.

 PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages