Jan 10, 2022

DK. MPANGO AWASILI NCHINI MALAWI

Makamu wa Rais  Dk. Philip Mpango akilakiwa na Waziri wa Masuala ya Jinsia wa Malawi Patricia Kaliate (kulia) baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kamuzu uliopo Lilongwe Nchini Malawi, leo. Makamu wa Rais yupo nchini Malawi kumuwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini Mwa Afrika (SADC) utakaofanyika tarehe 11-12 Januari 2022.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Pages