LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jan 5, 2025

MWENYEKITI WA ASASI YA SIASA, ULINZI NA USALAMA SADC-ORGAN RAIS DK. SAMIA ASHIRIKI MKUTANO WA DHARURA WA WAKUU WA NCHI NA ASASI HIZO, AKIWA IKULU YA TUNGUU, ZANZIBAR, LEO

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC-Organ) Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa Dharura wa Utatu wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Asasi hiyo kwa njia ya mtandao katika Ikulu ndogo ya Tunguu, Zanzibar tarehe 05 Januari, 2025




No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages