LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jan 7, 2025

MKUTANO MKUU WA CCM KUFANYIKA DODOMA JANAUARI 18, 19


 Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla ameeleza mbele ya vyombo vya habari jijini Dodoma, utaratibu wa kupatikana kwa Makamu Mwenyekiti Tanzania Bara atakayemrithi Komredi Abdulrahman Kinana ambaye ameamua kupumzika wadhifa huo.


Amesema kuwa jina la mrithi huo litaatikana baada ya kupendekezwa na Kamati Kuu na Halmashauri Kuu ya CCM na kupelekwa kwenye Mkutano Mkuu utakaofanyika Januari 18 na 19 mwaka huu, ambapo wajumbe watapata fursa ya kupiga kura ya ya ndiyo au hapana.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages