Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA) imo mbioni kuanza uboreshaji wa miundombinu ya maji taka katika Kata 21 jijini Dodoma.
Hapa nakuletea Mkurugenzi wa Ujenzi wa Miundombinu wa DUWASA, Nobert Mwombeki akielezea kinaga ubaka kuhusu maandalizi ya kuanza uboreshaji huo.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇