Taarifa iliyopo kwenye ukurasa wa Twitter wa Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa ambaye pia ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) imesema, Rais Mokgwetsi (pichani), atawasili mda wa saa 4 asubuhi.
Rais wa Jamhuri ya Botwana Mokgweetsi Eric Keabetswe anatarajiwa kuwasili nchini leo Juni 10, 2021, kuanza ziara ya siku mbili kufuatia mwaliko wa Rais Samia Suluhu Hassan.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇