LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 13, 2020

PICHA: RAIS DK. MAGUFULI ALIPOZINDUA BUNGE LA 12 NA KULIHUTUBIA TAIFA KUPITIA BUNGE HILO, BUNGENI JIJINI DODOMA, LEO.

Rais Dk. Magufuli akisalimiana na Spika wa Bunge Job Ndugai alipowasili kwenye Viwanja vya Bunge tayari kuingia Bungeni kulizindua Bunge la 12 na kulihutubia Bunge kupitia Bunge hilo, Bungeni jijini Dodoma, leo.
Rais Dk. John Magufuli akipokea salam za kikosi cha Polisi wa kupambana na ghasia (FFU) na heshima ya Wimbo wa Taifa, alipowasili kuzindua Bunge la 12 na kulihutubia Taifa kupitia Bunge hilo, Bungeni jijini Dodoma, leo
Rais Dk. John Magufuli akikagua gwaride maalum la Kikosi cha Polisi wa kupambana na ghasia (FFU) alipowasili kuzindua Bunge la 12 na kulihutubia Taifa kupitia Bunge hilo, Bungeni jijini Dodoma, leo
Rais Dk. John Magufuli akikagua gwaride maalum la Kikosi cha Polisi wa kupambana na ghasia (FFU) alipowasili kuzindua Bunge la 12 na kulihutubia Taifa kupitia Bunge hilo, Bungeni jijini Dodoma, leo
Akikagua kikosi cha Brass band ya Polisi
Rais Dk. John Magufuli akisindikizwa na Spika wa Bunge Job Ndugai kwenda kwenye chumba maalum kabla ya kwenda ukumbini kuzindua Bunge la 12 na kulihutubia Taifa kupitia Bunge hilo, Bungeni jijini Dodoma, leo
Rais Dk. John Magufuli akiwa na Spika wa Bunge Job Ndugai kwenye chumba maalum, kabla ya kwenda ukumbini kuzindua Bunge la 12 na kulihutubia Taifa kupitia Bunge hilo, Bungeni jijini Dodoma, leo
Rais Dk. John Magufuli  akizindua Bunge la 12 na kulihutubia Taifa kupitia Bunge hilo, Bungeni jijini Dodoma, leo
Bungeni jijini Dodoma, wakati Rais Dk. John Magufuli akizindua Bunge la 12 na kulihutubia Taifa kupitia Bunge hilo, leo
Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Mwinyi akiwa katika ukumbi wa Bunge wakati Rais Dk. John Magufuli alipokuwa akizindua Bunge na kulihutubia taifa kupitia Bunge hilo, jijini Dodoma, leo. Kulia ni Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan na kushoto ni makamu wa Pili wa Rais wa zanzibar Hemed Suleiman Abdulla.

Wakuu wa Vyombo vya ulinzi na Usalama, wakiwa ukumbini wakati Rais Dk. John Magufuli akizindua Bunge la 12 na kulihutubia Taifa kupitia Bunge hilo, Bungeni jijini Dodoma, leo.
 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages