Msemaji Mkuu wa Serikali ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Hassan Abbas (katikati) akiteta jambo na Waziri Mteule wa Fedha na Mipango, Dk Phillip Mpango (kushoto) pamoja na Waziri Mteule wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Paramaganda Kabudi baada ya Rais John Magufuli kuzindua Bunge la 12, bungeni Dodoma Novemba 13,2020. Picha na Richarda Mwaikenda
Nov 14, 2020
MSEMAJI MKUU WA SERIKALI ATETA NA MAWAZIRI WATEULE DK MPANGO NA KABUDI
Tags
featured#
siasa#
Share This

About Richard Mwaikenda
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇