Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Rais Dk. John Magufuli akiwasalimia na kuwaomba kura Wananchi waliojipanga kandoni mwa barabara katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Mwanza kumuaga wakati akiondoka katika Jiji hilo kwenda mkoani Geita, leo asubuhi.

Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi Rais Dk. John Magufuli akiwasili kuhutubia wananchi katika mkutano wake wa kampeni mjini Sengerema leo Jumanne Septemba 8, 2020 (Picha zote na Ikulu)
Sep 8, 2020
Home
featured
siasa
MAELFU MWANZA WAMDAMKIA KUMUAGA MGOMBEA URAIS WA CCM RAIS DK MAGUFULI, AUNGURUMA SENGEREMA AKIELEKEA MKOA WA GEITA

Tags
featured#
siasa#
Share This

About Bashir Nkoromo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇