Waziri wa Viwanda na Biashara, Seleman Jaffo amesema kuwa Kiwanda kikubwa cha magari cha Saturn kilichopo Kigamboni Dar es Salaam, kina uwezo wa kuzalisha magari 9000 kwa mwaka na hadi sasa kimeajiri watanzania 250.
Amebainisha hayo alipokuwa akizungumza katika mkutano na vyombo vya habari katika Ukumbi wa Idara ya Habari- MAELEZO jijini Dodoma Mei 15, 2025 kuelezeamiaka minne ya mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan.
Sehemu ya waandishi wa habari kwenye mkutano huo.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI
BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇