Waziri wa Madini, Anthony Mavunde ameeleza kuwa Bajeti ya wizara hiyo kwa miaka mingi imekuwa ndogo lakini sasa katika Awamu ya Rais Samia Suluhu Hassan imeongezwa kwa kiasi kikubwa na kuvunja rekodi.
Ameyasema hayo alipokuwa akizungumza na vyombo vya habari katika Ukumbi wa Idara ya Habari MAELEZO jijini Dodoma Mei 15, 2025 kuelezea mafanikio ya miaka minne ya Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan.Sehemu ya waandishi wa habari kwenye mkutano huo.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI
BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇