LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jun 16, 2020

RAIS MAGUFULI AKIHUTUBIA BUNGE JIJINI DODOMA LEO



 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli akilihutubia Bunge kabla ya kulivunja Bunge hilo jijini Dodoma.
Marais Wastaafu wakiwa na furaha ndani ya ukumbi wa Bunge, wakati Rais Magufuli akilihutubia Bunge. Kutoka kulia ni Ali Hassan Mwinyi, Benjamin Mkapa na Jakaya Kikwete.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages