Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa Benki ya NMB, Juma Kimori (aliyenyoosha mkono) akimwelezea jambo Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali, Charles Mbuge ( wa pili kushoto) wakati wafanyakazi wa benki hiyo, walipotembelea Makao Makuu ya Jeshi hilo, Wilayani Chamwino mkoani Dodoma.
Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa Benki ya NMB, Juma Kimori (wa kwanza kushoto) akimpongeza Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Meja Jenerali, Charles Mbuge (katikati) kwa kupandishwa cheo kuwa Mkuu wa JKT, wakati wafanyakazi wa benki hiyo, walipotembelea Makao Makuu ya Jeshi hilo wilayani Chamwino, mkoani Dodoma. Kulia ni Meneja Mahusiano na Serikali wa Benki ya NMB, Josephine Kulwa na Meneja wa Kanda ya Kati, Nsolo Mlozi (wa pili kulia).
Jun 16, 2020
Home
featured
habari picha
NMB YAMPONGEZA MEJA JENERALI CHARLES MBUGE KUWA MKUU WA JESHI LA KUJENGA TAIFA
NMB YAMPONGEZA MEJA JENERALI CHARLES MBUGE KUWA MKUU WA JESHI LA KUJENGA TAIFA
Tags
featured#
habari picha#
Share This

About Richard Mwaikenda
Tags
featured,
habari picha
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇